Mwanaharakati wa Nigeria
        
        TEHRAN (IQNA) - Mwanaharakati wa Nigeria anasema Mapinduzi ya Kiislamu yakiongozwa na Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu- yaliwakomboa watu waliokuwa wamekandamizwa na madola ya kibeberu ya Magharibi na kambi ya Kikomunisti.
                Habari ID: 3476531               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/02/08